utawala wa kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Baraza la Mawaziri lasema liko tayari kujiuzulu huko Korea Kusini baada ya kushindwa kwa Amri ya Utawala wa Kijeshi

    Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
  2. Rais wa Korea Kusini akubali kuondoa amri ya utawala wa kijeshi!

    Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge ! Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
  3. Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

    Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa. Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
  4. Raia waandamana kupinga utawala wa Kijeshi Sudan

    Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
  5. Utawala wa kijeshi wa Mali washindwa kulipa madeni yake

    Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi. Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
  6. Sudan: Wananchi wapinga Utawala wa Kijeshi

    Makundi ya kutetea demokrasia ya Sudan yameanzisha mgomo na kutofuata sheria Jumapili ikiwa ni hatua ya kupinga mapinduzi ya kijeshi ya mwezi uliopita. Washiriki walionekana wachache kwa sababu ya kuendelea kuzuiwa kwa mtandao wa internet na mawasiliano ya simu. Kamati ya mgomo, na chama cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…