Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake
Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !
Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa.
Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa
Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi.
Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
Makundi ya kutetea demokrasia ya Sudan yameanzisha mgomo na kutofuata sheria Jumapili ikiwa ni hatua ya kupinga mapinduzi ya kijeshi ya mwezi uliopita.
Washiriki walionekana wachache kwa sababu ya kuendelea kuzuiwa kwa mtandao wa internet na mawasiliano ya simu.
Kamati ya mgomo, na chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.