Misamiati:
Baraza: Wilaya
Wadi - Kata
Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake. Mkoa una wilaya mbili tu, ambazo ni Mkoani na Chake Chake
Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022 idadi...