Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000.
Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida...