Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Ingekua vipi, ingekuwa vipi?
Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.