Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba.
Hata hivyo, Kampuni hiyo kubwa ya Kijapani ya vifaa vya kieleteoniki ya KijapanoToshiba, iliyotawala kwa ubora...
Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500
Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote
Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo
Nipo Mbezi Stand ya Magufuli
TAYARI IMESHAUZWA
Habari wakuu,
Computer yangu aina ya toshiba settilite core i7 ram 8 hdd 500 imedondoka na kioo kimepata clerk ni zile za Touch screen na kugeuza unaweza kutumia kama tablet pia sjui wanaita nyuzi 360.
Nipo Dsm
NAHITAJI KIOO KIPYA KAMA NAWEZA KUPATA
0627092821
Habari wakuu
Nahitaji battery used ya Toshiba satellite ,aliyenayo atume Bei yake na picha (Kwa Dar es salaam tu) WhatsApp +255765696086
Models
PA5024U-1BRS,PA5025-1BRS au PABAS260
Laptop inauzwa. Toshiba Satellite C650
Ram : 3gb
Processor: Intel (R) core i3 , 2.27 gHz
Window 10
Bei: Laki mbili na elfu ishirini (250,000)
Mahali : Kigamboni
Sababu ya kuuzwa: Matatizo ya kifedha
Uimara wa laptop: Laptop iko imara sana, battery tu ndio inahitaji kubadilishwa lakini si...
Habari ya majukumu wadau.
Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout.
Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.