MALENGO YA AU MAFANIKIO YA UJUZI WA PROGRAMMING
Miongoni mwa malengo au mafanikio anayotarajia mtu anayejihusisha na programming ni kutengeneza programu za kompyuta kwa matakwa yake mbalimbali.
Na ili utengeneze programu ya kompyuta lazima ujifunze lugha za programu kulingana na malengo yako...
COMPILER NI NINI ??
Kwa lugha rahisi , compiler ni kama mtafsiri ambaye hubadilisha maelezo yaliyoandikwa katika lugha za programu ambazo sisi binadamu tunaelewa kam vile python, java, C++ na kubadilisha maelezo hayo kuwa lugha ambayo lugha inaweza kuelewa moja kwa moja (mashine language) ambayo...
LUGHA ZA PROGRAMU
Programu hizi zimeandikwa kwa kutumia lugha za programu. Hapa kuna baadhi ya lugha za programu.
Python
Java
C++
JavaScript
Ruby
C# n.k
Kwa kutumia lugha hizi programmer wanaweza kuwasiliana na kompyuta na kuipa maelekezo wanayotaka kompyuta ifanye , na kwa njia hii ya lugha...
PROGRAMMING NI NINI?
Programming ni mchakato wa kuunda program za kompyuta kwa kutumia lugha za kompyuta. Programu hizo ni maagizo ambayo kompyuta inafuata ili kutekeleza kazi flani.
Mfano: unaweza kutumia lugha ya kompyuta kama vile java kuunda programu ambayo itafanya mahesabu ya kujumlisha...
PROGRAMMING
Nilikueleza kwamba tutajifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kompyuta katika Tehama ndio lengo na madhumuni ukiwa mdau wa Jiku Tech Tips.
Tujikumbushe maana ya kompyuta ..... Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa...
UFAHAMU KUHUSIANA NA SOFTWARE NA HARDWARE (KOMPYUTA SYSTEMS).
Unapo zungumzia kompyuta kuachana na tafsiri yake halisi ina mifumo miwili mifumo ambayo ni software na hardware mifumo ambayo inawezesha utendaji wa kompyuta kwa ufanisi
Vifaa vyote vya kushikika kwenye Kompyuta (physical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.