tanganyika law society

Tanganyika Law Society is the organisation which is part of the bar association of Tanzania Mainland which was founded in 1954 by an act of parliament-the Tanganyika Law Society Ordinance 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Tanganyika Law Society (TLS): Jeshi La Polisi limekosea katika kuzuia maandamano

    🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU. Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September 2024 walikosea https://m.youtube.com/watch?v=azUKcQAt0jc Rais wa TLS akiongea na jopo la...
  2. 9867_

    TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  3. R

    Enhancing good governance

    The Imperative of Timely Responses to 90-Day Notices and Swift Compliance with Court Decrees Introduction In Tanzania, the legal framework governing civil proceedings against the government is outlined in the Government Proceedings Act, Cap 5. A crucial element of this framework is Section...
  4. N

    Kwanini iitwe Tanganyika law society na sio Tanzania law society?

    Wakuu kwa Sasa masikio yote yapo Dodoma kwenye mkutano wa mawakili na katika mkutano huo umefanyika uchaguzi ambao matokeo yake yanasubiriwa kwa hamu sana. Maswali yangu kwa wajuzi: 1.Kwanini hii inaitwa Tanganyika law society na sio Tanzania law society?? 2. Je Zanzibar napo huwa kuna Zanzibar...
  5. R

    Uchaguzi TLS 2024: Je, wanasheria pia wananunulika?

    Salaam, Shalom! Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali ashinde. Swali: je, wanasheria nao wanapokea RUSHWA? Ikiwa Kweli wanasheria wananunulika, kwanini...
  6. Yesu Anakuja

    Wakili wa Serikali kupiga kura TLS sio haki, ukweli usemwe

    Nimejiuliza sana, mawakili wa serikali wana umoja wao unaitwa TPBA (Tanzania Public Bar Association) yaani umoja wa mawakili wa serikali Tanzania, na wana Rais wao. Upande wetu TLS ukiongea kiuhalisia kabisa, unahusu Mawakili wa kujitegemea. TLS inajali maslahi ya mawakili wa kujitegemea, na...
  7. L

    TLS isajiliwe kama chama cha siasa tujue moja

    Hakuna chama cha wanasheria hapa, heshima imeshuka sana katika taasisi hii. Hiki chama kimegeuka kuwa chama cha siasa na mm ntafurahi sana huyo Mwabukusi mnayedhani ataleta mabadiliko awe Rais wa hicho chama kipya cha siasa nchini kilichojificha kwenye mwamvuli wa chama cha kitaaluma...
  8. JanguKamaJangu

    Uchambuzi Mahsusi wa Julius Mtatiro (Wakili) na Ally Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS

    Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS Watanzania na mawakili tumesikiliza na kufuatilia kwa kina, mjadala wa wazi uliorushwa na Star TV siku ya Jumamosi 27 Julai, 2024 ukiwahusisha mawakili mbalimbali waliopendekezwa kuwania nafasi ya...
  9. Mystery

    Kuelekea 2025 Mdahalo wa wagombea Urais wa TLS ulikuwa "fantastic". Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025 waige mfano huo

    Nilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, Chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu, ambao ulikuwa mzuri sana na wa kiwango Cha kimataifa, ambao uligusa Kila aina ya nyanja ya taaluma...
  10. 9867_

    Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024

    Recorded video🎥👇🏼 https://www.youtube.com/live/Ykazv1aguT4?si=slkP5hyLZuX3MQsS MASUALA MUHIMU YALIYO ZUNGUMZWA Jambo kubwa zaidi lililozungumzwa na wagombea wote ni suala la mamlaka na wajibu wa TLS kama ilivyoelezwa katika Kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS. Hata hivyo, mbali na hilo, kuna mambo...
  11. J

    Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

    Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania Jumaa Mubarak 😃 ---- Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Julai 26.2024 imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na...
  12. Jaji Mfawidhi

    Kamati ya Maadili ya Mawakili wa Tanganyika imekuwa jehanamu kwa mawakili

    Kamati ya maadili ya mawakili wa Tanganyika[Zanzibar hawahusiki] imekuwa sumu, mwiba, jehanamu kwa mawakili. Kamati badala ya kulinda, kutetea na kurekebisha mawakili yenyewe imekuwa kichaka cha kufuta, kufukuza na kusimamisha mawakili. Mwabukusi ameipeleka mahakamani, Rutagatina aliwahi...
  13. The Sheriff

    Mwabukusi: Magenge ya nje na ndani ya TLS yanahujumu michakato ya kidemokrasia ili kuwapangia Mawakili viongozi wanaowataka. Sitakubali uhuni!

    Mwabukusi akitema cheche Baada ya wakili Boniface Mwabukusi kukatwa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa madai ya kuwa na doa la kimaadili kinyume na kanuni za uchaguzi huo, ameibuka akisema kuwa wakati wa zoezi hilo la uchaguzi, aliwekewa...
  14. R

    Opinions and recommendations regarding The Finance Bill 2024

    In reviewing the Finance Bill 2024, published on June 18t, 2024, SARC Law Chambers would like to highlight our opinions and recommendations regarding certain proposed and non-proposed provisions within the Tax Revenue Appeals Act (CAP 408) and the Tax Administration Act (CAP 438). 1.0 Regarding...
  15. Pfizer

    Rais wa Tanganyika Law Society: Sisi tunataka Katiba ya Wananchi siyo Katiba ya makundi fulani

    Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amebainisha mambo matatu ambayo wameyagundua ya wananchi wa Tanzania na baadhi ya viongozi kuhusu katiba iliyopo sasa kwa mikoa ambayo wamefanya mikutano. Amesema kuwa Miongoni mwa mambo ya msingi...
  16. Jaji Mfawidhi

    TLS [2024]na Mawakili wapoteza mvuto kwa Jamii

    TLS-Chama cha Mawakili wa Tanganyika , -Zanzibar wana Chakwao, kimekuwa kikipoteza mvuto na haiba mbele ya jamii kila uchao. Sababu zinazosemekana kupoteza mvuto kwa jamii: baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Sungusia ni kama walikuwa...
  17. R

    Where are our Judiciary and the Tanganyika Law Society (TLS)?

    The Judiciary stands as one of the critical and indispensable arms of the government, entrusted with the solemn duty of ensuring justice for all Tanzanians. Similarly, the Tanganyika Law Society represents a stronghold of legal defence, where citizens anticipate support in their pursuit of...
  18. Jaji Mfawidhi

    Tanganyika Law Society new Song in Judiciary Tanzania

    On 17-12-2023 will have their extraordinary meeting to discuss their welfare in respect of their member who have been admonished by the judiciary unreasonably. One point TLS is failing without knowing is that, amongst other reason is that, State Attorneys and public advocates are also members...
  19. GUSSIE

    TLS ni chama cha wanasheria kweli? TLS Wanajua maana ya siasa za biashara

    Uchambuzi wao kuhusu makubaliano ya serikali ya Tanzania na Emiratrs of Dubai unaleta shaka sana Vipengele vingi TLs wamechambua kama watu wa sekondari na sio professionals wa business law,Nitaongelea makosa kwenye kila article walizochambua Article 21 ya IGA na uchambuzi wao TLs naunukuu kwa...
  20. Pascal Mayalla

    Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
Back
Top Bottom