Siku ya leo Novemba 13, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa tamko kufuatia kifo cha Christina Kibiki, aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa.
Mapema siku ya leo Christina Kibiki aliripotiwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, wananchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi.
Wito huo umetolewa na Afisa Uchaguzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Maduhu William...
Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania (LHRC) kimelaani kikali kitendo cha kikatili alichafanyiwa Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa.
Iliripotiwa kwamba, baada ya kutekwa, aliteswa na kushambuliwa kikatili kabla ya kupatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi siku ya tarehe...
TAARIFA KWA UMMA
KUKEMEA UDHIBITI WA UHURU WA HABARI NA UNYANYASAJI WA WAANDISHI WA HABARI
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimepokea kwa masikitiko taarifa za kukamatwa kwa mwandishi wa habari, Bi. Dinna Maningo, aliyekamatwa nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara, Juni 13, 2024 saa mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.