Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao...
Bashe anadaiwa kushiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini.
Pia, anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000 za sukari kinyume na mahitaji yaliyopo; kuyapa makampuni yasiyo na sifa ya kuingiza bidhaa hiyo na...
MASWALI YA KUJIULIZA KUHUSU MADALALI WA SUKARI TANZANIA
Sugar Catels wamechachamaa, wanatumia kila mbinu ili wafanikiwe kubaki na 'monopoly right' ya kuamua bei ya sukari iweje nchini
Maswali ya kujiuliza;
1. Kwanini wanalipa watu mamilioni ili kujaribu kukwamisha mabadiliko ya sheria ya...
Kumekuwa na mtifuano kati ya Mhe. Mpina na Mhe. Waziri wa Kilimo - Bashe kuhusu sukari iliyoagizwa ili kuziba pengo lililotokea katika nchi.
Mengi yamezungumzwa na Watanzania tumesikia mengi. Kama kweli yale maneno aliyoyasema Ndugu Lissu kule Itigi basi Serikali iliyoko madarakani inatakiwa...
Hakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo biashara ya kuagiza sukari.
Kama unabisha, wewe tengeneza App zako na uzitumie kufanya biashara haramu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.