Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too...
Hii ID ni moja ya ID zinazogombewa sana humu ndani. Watu wanapanda dau niwaachie. Wengi baada ya kugundua kupitia ID hii siri kubwa sana.... Niliache hili.
Naangalia hapa kwenye kioo sioni. Naangalia tena sioni hata kwa kuibia ibia. HAMNA KITU YAANI ZERO KABISA. SIMBA HAIENDI SHINDA HATA NUSU...
Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto
Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule
Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip...
Nawapongeza Simba Kwa ushindi dhidi ya Stellenbosch wa goli moja Kwa bila. Sijui ni kutokuelewa matokeo ya Sola au ni ushabiki uliopitiliza.
Mashabiki wengi wa Simba ni kama hawajaridhika hivi Kwa goli moja bila na kosakosa kibao.
Lakini mchezo wa soka tunajua una matokeo ya kushangaza.
Ukweli...
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!
Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!
Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata...
Inasikitisha.
Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali ambayo tunahitaji matokeo ya goli kuanzia 2 kwenda juu alafu kocha anaanza na viungo wakabaji na sio wakabaji tu ila pia wenye mentality ya kukaba wawili yaani Ngoma na Kagoma.
Ukiacha hilo, tupo nyumbani tunaongeza kwa goli moja la...
Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani Zanzibar.
Mchezo huo utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni.
Kaa karibu kwa Live updates
Asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.