shirikisho la soka tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Ligi yetu inazidi kukuwa ila TFF inashuka, naona inaisaidia Simba SC

    Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF. Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua...
  2. ngara23

    TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka

    Simba umeshindwa kesi ya Awesu. Hairuhusiwi team kuongea na mchezaji kabla miezi 6 kwenye mkataba wake lakini Simba walifanya hivo Simba walimrubuni Awesu na kumtorosha Awesu. Simba walimpeleka Awesu Egypt pre season Simba walimtambulisha Awesu Simba day. Awesu alivaa jezi ya Simba na...
  3. Ubaya Ubwela

    Kanuni Mpya Ligi Kuu Timu ikisajili mchezaji wa Kigeni atalipiwa ada ya Milioni Nane TFF

    Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza. Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M, ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC. CHAMBUA
  4. vibertz

    Viongozi wa shirikisho la soka Tanzania hivi mbona mnapenda kujiabisha waziwazi kila mmoja ajue mapungufu yenu?

    Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina. Tukio la kwanza ilikuwa ni kitendo cha kupeleka fainali ya kombe la CRDB federation cup Manyara. Tukio la pili ni kitendo cha...
  5. ACT Wazalendo

    Kanuni mpya ya TFF kuzuia udhamini kwa wachezaji inakandamiza maslahi ya wachezaji

    Kanuni mpya ya TFF kuzuia udhamini kwa wachezaji inakandamiza maslahi ya wachezaji. Wiki iliyopita tuliona taarifa ya maboresho ya Bodi ya Ligi Tanzania yanayozuia au kuweka marufuku kwa mchezaji kuingia mkataba binafsi wa udhamini na mshindani kibiashara wa mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ambaye kwa...
  6. N

    Klabu ya Simba yatakiwa kuomba radhi kwa tukio linalodaiwa kudhalilisha watu wenye ualbino kwenye tamasha lao

    Chama cha Watu wenye ualbino Tanzania (TAS) na Kituo cha Sheria na haki za binadamu (LHRC), wamelaani vikali kitendo kinachodaiwa kufanyiwa siku ya Augosti 6, 2023 siku ya 'Simba Day' kumtumia mtu mwenye ualbino mithili ya mtu aliyekuwa katika hali ya nusu utupu na aliyevaa nepi ya mkojo...
Back
Top Bottom