Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili.
Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025
Kupinga kauli ya "No reform No election" pamoja na kudanganya umma kwa...
Wakuu,
Diwani wa Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Samwel Mbano ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mbano amesema hayo akizungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya maendeleo kwenye kata yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.