Leo katika pita zangu huko kwenye ESS, Daaaah, ni hatari saana. Mabenki yanashindana tu kupandisha riba za mikopo ambayo ni kimbilio la watumishi wavuja Jasho wa nchi hii.
CRDB, NMB, NBC, nk,riba na mikopo yao imekuwa MIKOPO KAUSHA DAMU. Mlio karibu na Rais Samia jaribuni kumstua kuwa hali ni...
Kwa kipindi cha miakaa miwili hii, mabenki ya nchini Tanzania kama CRDB, NMB, DTB, NBC, AZANIA BANK nk yamepandisha riba za mikopo kwa kiwango kikubwa.
Hii imekuwa ni maumivu makiuubwa saana kwa watumishio wa serikali na wa sekta binafsi na hata wafanyabiashara wanapoenda kwenye benki husika...
Mwaka 2023 na mwaka 2024, mabenki mengi yalitangaza kupata super profits na yakatoa gawio kubwa kwa wanahisa. Cha ajabu saana, pamoja na kutangaza super profits na ongezeko la mitaji ya mabenki, mabenki hayo yameenda mbali kwa kuongeza riba juu zaidi za mikopo ambayo imekuwa maumivu makubwa kwa...
Kwanini Riba ya mikopo ya mabenki ni kubwa kuliko anachopata mtumishi mfano unaeza kopa mil 6, take home mil 5.31 alafu marejesho inakua mil 9 hii imekaaje wakuu? Tuwasaidie Gen Zee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.