Rais Bola Tinubu wa Nigeria alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles.
Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia ya Juni 12.
Haikuwa wazi kutoka kwenye video ya kuanguka kwake kama kutokana na mavazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.