rais samaia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Kuelekea 2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  2. Rais Samia ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika ili uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi uweze kufanywa na Vyama vya Ushirika. Rais Samia ametoa agizo hilo leo katika kikao na...
  3. Jaji Warioba aomba jengo la Maabara Jumuishi SUA kuitwa Samia, Rais Samia aridhia

    My Take Chadema wataumia sana Kwa hili. In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe. Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua...
  4. S

    Kuelekea 2025 Rais anafanya makosa makubwa sana kuwapigia debe baadhi ya viongozi wa CCM kwamba "nirudishieni huyu" mwaka 2025

    Hapa juzi nimeona taarifa Rais Samia akiwaambia wananchi wa Kilosa wamrudishie Prof. Kabudi katika uchaguzi wa 2025. Nimejiuliza sana bila kupata jibu, kama Rais Samia haoni ni kosa kubwa sana kwake, kuwaambia wananchi nirudishieni Prof Kabudi, au kiongozi yeyote wa CCM, mwaka 2025? Rais Samia...
  5. M

    Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania

    Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaingia katika enzi mpya ya maendeleo na ustawi kwa kuzindua huduma za treni za Reli ya Standard Gauge (SGR). Mafanikio haya makubwa yanaonyesha dhamira thabiti ya serikali kuboresha miundombinu ya taifa, kuongeza uunganishaji, na...
  6. Pongezi za watendaji wa kata Tanzania kwa Rais Samia

    Tunakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi iendelee! Awali ya yote tunapenda kuchukua fursa hii kukutakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2023. Pia tunakupongeza kwa juhudi zako mbalimbali za kuliletea maendeleo Taifa. Mh. Rais sisi watumishi wako katika kada ya...
  7. Shaka: Rais Samia pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi

    RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku akionya vitendo vya rushwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka...
  8. Nina imani kubwa na uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu

    Dkt. H.G. Mugala, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Utawala. Awali ya yote ninampongeza Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uteuzi huu alioufanya, nimepitia jina moja baada ya jingine ikiwemo wateuliwa wapya na wale ambao wanaendelea kubakia katika nafasi zao...
  9. Rais Samia kufanya ziara ya siku 2 mkoani Mara

    Kazi Iendelee Samia anatajia kufanya ziara ya siku 2 Kuanzia Trh.4-5/02/2022. Samia atahudhuria pia maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCC ambayo yanahadhimishwa Kila mwaka trh.05/02. Kilele Cha Maadhimisho Hayo kinafanyika Kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkendo, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara.
  10. Ziara ya Rais Masisi: Wakubaliana na Rais Samia kuendeleza Sekta ya Madini na kufufua Tume ya Pamoja ya Ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mokgweetsi Masisi amewasili kwa na ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, kuanzia leo Juni 10, 2021 kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Viongozi hao wawili wanatarajia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya nchi mbili, uhusiano wa kidiplomasia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…