Chanzo:
https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19
Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini Haiti, haya ndiyo yanaendelea.
Wahaiti wajue kwamba, mambo yanaenda kwa mipango! Au wanataka waone polisi wa Kenya wamekufa kwa wingi ndio waamini kama wanafanya kazi!
Habari kamili;
Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa polisi wa Kenya kutekeleza ahadi yao ya kusaidia kudhibiti magenge yaliyokithiri nchini Haiti, wiki sita...
Huwa naangalia video jinsi vikosi maalumu vya Kenya Haiti wanavyokomaa mtaani kupambana na magenge ya waarifu huko Haiti.
Wale jamaa ukwaangalia na kiongozi wao Babacue ni watu waliokata tamaa na maisha. Hawana cha kupoteza. Ndio maana wazungu wamekwepa hilo jukumu na kutafuta umasikini mwenzao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.