Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe.
Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC)
Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha.
Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema limejipanga vyema kuhakikisha linafanyika kwa amani na utulivu.
Akitaja njia hizo Mkuu wa Kikosi cha...
Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi;
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
My Take
Yule RC wenu wa Taifa anaejiita mtetezi wa Wanyonge Ajitokeze kusimamaia Haki ya huyu mnyonge anaedai kutendewa unyama na kigogo wa Polisi huko Mkoani kwake Arusha.
Kipimo sahihi Kwa hao watu wanaojigamba ni kutetea watu walioumizwa na wale wanaowalinda au kuwatuma ndio tutajua...
Maswali ya kujiuliza ni kuwa;
1. Makonda anatoa litahizi za mafuta kama mtu binafsi au serikali? Kama anatoa kama mtu binafsi vyanzo vya mapato haya ni nini? Mkuu wa Mkoa anatoa wapi pesa za kugharamia mafuta lita zote hizi?
2. Bajeti inayotengwa upande wa vyombo vya ulinzi ikijumuisha mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.