peter msingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Tatizo siyo mchango. Tatizo ni maneno ya uchonganishi yaliyotangulizwa

    Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki. Mchango ambao kwanza umetolewa baada ya tukio la Mbeya, pia umetangulizwa Kwa maneno ya kumponda Mwenyekiti...
  2. J

    Kuelekea 2025 Mchungaji Msigwa: Kwa nguvu ile ile na Juhudi zile zile za CHADEMA nitazunguka nchi nzima kuelezea Utakatifu wa CCM, msidanganyike na Wapinzani

    Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani...
  3. Z

    Kuelekea 2025 Hakuna Uadui wala Urafiki wa Kudumu kwenye Siasa Lissu karibu CCM ulitumikie Taifa kwa maono uliyonayo

    Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo. Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja anajua na kukubaliana na hili. Mhe Tundu Lissu siku ukija CCM utapokelewa na marafiki zako...
  4. J

    Kuelekea 2025 Mwanasiasa aliyejibrand akiwa upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM, hiki kitamtesa sana Mchungaji Msigwa

    Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM. Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali. Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine...
Back
Top Bottom