Wakati katika jiji la Dar es salaam vyombo vya dola vinahangaika kuhakikisha kabisa kuwa vijana wanaojiita 'Panya road' wanatokomezwa kabisa ambao ni maarufu sana maeneo ya Yombo,Buza na baadhi ya maeneo ya Mbagala na Mburahati basi Mkao wa Mbeya ambao inasadikika kuwa una rais wao waliemchagua...
Uchambuzi,
Katika kupambana na wahalifu, kuna wakati inabidi tuwaze mbali zaidi.
Ingawa natambua watanzania tulio wengi huwa hatupendi kufikiri Kwa kina;
Naomba Leo tutafakari kwanza maswali yafuatayo;
1. Nini maana ya PANYA ROAD
2. Nani aliyelathimisha jina hilo la kitaalam.
3. Nini malengo...
Tukio hili limetokea leo saa 3 usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe.
Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya Mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu...
Leo wameichakaza Makumbusho na inaonekana trend itaendelea.
Wizi wa mchana kweupe wa kundi la vijana takribani 50 wakiwa na silaha za jadi unaonekana kulishinda Jeshi la Polisi jijini Dar.
Tukimbilie wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.