olimpiki ufaransa 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mashindano ya Olimpiki yameisha?

    Wakuu kwani mashindano ya olimpic yameisha? Kulikuwa na nyuzi tele humu za kuwafagilia watanzania walioenda kwenye mashindano. Mlikua mna mbwembwe wakati mnaenda ila sasa hivi kimyaaa 😂😂 Pia soma: Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa Hiki kimya chenu...
  2. K

    Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa

    Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kweli matokeo yake hayakuwa mazuri kwa kushika nambari 17 akitumia saa 2:10: 03 katika mbio hizo. Pole sana. Rudi nyumbani...
  3. I am Groot

    Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

    Ufunguzi huo uliosheheni nakshi nashi za namna yake umepigwa vikali na vikundi vya watu wenye imani kali; wakiishutumu Ufaransa ambaye ndiye mwenyeji wa michezo hiyo mwaka huu kuwa maonyesho yalijaa viashiria vya kukashifu ukristo na ushetani mwingi. Mfano maigizo yaliyoiga namna Yesu...
  4. Melubo Letema

    Timu ya Tanzania Itakayoshiriki Michuano ya Olimpiki kuagwa na Kukabidhiwa Bendera leo

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku ya Ijumaa Julai 26 hadi Jumapili Agosti 11, 2024 jijiniParis na miji mingine 16 nchini Ufaransa...
Back
Top Bottom