ogopa

Ogopa Deejays are a Kenyan music production team and record label formed in the late 1990s who gained regional fame and popularity due to standards of their production work.

View More On Wikipedia.org
  1. The patriot man

    Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
  2. Msanii

    Yericko ogopa sana teknolojia. Njoo ujisahihishe hapa

    Yericko Nyerere Pitia hapa ujifunze kuwa mkweli. Kisha soma na hii hapa Kukemea uovu kunakofanywa na Lisu ni kutoa siri za chama? Hebu tueleze hapa umekuwa na ushirika na mfumo kwa muda gani sasa?
  3. Tman900

    Jamaa anamjali demu wake lakini demu anasema hana hisia na jamaa

    Hii kitu imenishangaza sana kwa Hawa Viumbe. Mshikaji ana muhudumia Demu kwa Kila Kitu, jioni anamfuata Kazini, na asubuhi anampeka Kazini (Privet Car). Sasa Cha kushangaza Demu ananiambia "mi yule Bwana hata Sina hisia nae" mi nikajiongeza kumsemesha mambo ya mapenzi kajaa nimemvua chup...
  4. Brojust

    Ogopa sana hili jambo kwenye Daladala

    Salaam wanajukwaa Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji ) Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu...
  5. M

    Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

    Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa. Kama huna kondomu aihirisha kupiga. Muombe samahani kila mtu ale kona.
  6. S

    Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

    Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke. Mfano mwanamke:- 1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama...
  7. Annie X6

    Ogopa binadamu unaongea naye hakujibu bali anatabasamu

    Nimekaa na kuishi na watu kadhaa, unamtendea sivyo ila yeye ana smile tu. Hasemi kitu. Yeye pamoja na mabaya yanayofanywa na watu wanaoona wako sawa na wabishi yeye kazi yake ni kuongea kidogo baadae mnapojadili yeye kimya, na kuendelea ku smile 😃 tu. Kuna maamuzi atachukua na utashangaa tu...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Ogopa sana, Usikutane na mtu asiekuwa na cha kupoteza

    kwenye maisha yako usijekukutana na mtu ambae hana cha kupoteza... Hawa watu wana matatizo mkubwa, mfano wa watu wasiokuwa na cha kupoteza, mtumishi wa serikali ya Tanzania ambae amefanya kazi muda mrefu na hana maendeleo.. Mwanamke anaeishi...
  9. Ashampoo burning

    Kamati ya maadili hatari kuliko zote Tanzania ogopa sana

    Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)... Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
  10. Candela

    Kaniambia akiipata kazi mume wake atapiga deki ndani!

    Nimekaa na mke wa mtu nikampa dili kuna sehemu wanahitajika watu kazi ya kutwa data collection 25,000 kwa siku, project ya miezi 2, alichonijibu akasema yupo tayari tena akiipata hiyo kazi huyo mume wake mbona atapiga deki ndani. Akasema ana rafiki yake kama wanahitajika watu wengi nikamwabia...
  11. Mjanja M1

    Profesa Janabi: Ogopa sana vitu vitamu vitamu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu. “Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano, mchana matano na jioni matano maana yake kwa mwezi ni machungwa 450, unaharibu afya yako, ogopa zaidi...
  12. Kaka yake shetani

    Ogopa mwanamke anayebandika kucha juu ya kucha au kope, rahisi sana wapanga

    Hawa wanawake kwa kweli nimewapa nyota tatu za jeshi. Dada mmoja wiki tofauti kaja dukani kanunua simu tofauti ambazo ni iPhone 14 na Samsung S23, zote hizo ni wanaume wawili tofauti, mmoja iPhone na wapili Samsung. Ila kwa vile ni biashara, aisee!
  13. Canabian Rasta

    Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

    Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy. No offens. Madogo yakujifinya Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui...
  14. A Father

    Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

    Wakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki. Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
  15. Pdidy

    Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  16. D

    Tundu Lissu hana msimamo kabisa yaani kwake bora akosoe chochote kile hata kisichokosoleka

    Lissu hanaga msimamo kabisa yaani kwake bora akosoe chochote kile hata kisichokosoleka ilimradi amekosoa tu. Huyu Lissu alituambia kuwa eti Samia alikwenda Kenya kumuona wakati jiwe hakutaka kabisa lakini Leo anamsifi jiwe na anamsiliba Rais Samia. Huyu Lissu mama amemtoa Ubelgiji lakini...
  17. R-K-O

    Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

    Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia), Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend...
  18. R

    Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

    Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania. Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na...
  19. R

    Ogopa viongozi wanaoamini suala la DP World nalo litapita

    Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine. Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time . Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na...
  20. Engager

    Utamfanya nini mwanamke huyu?!

    Kakubambikia mimba Kakubambikia mtoto Umeshindwa kuprovide child support Kakushitaki Umefungwa miaka 5 Umetoka Umekwenda partenity court Imethibitika mtoto si wako Naye anakiri anamjua baba wa mtoto Utamfanyanini mwanamke huyu?!
Back
Top Bottom