nilivyokutana na mariam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    Nilivyokutana na Mariam kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile

    Kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile yani sina mchongo wowote ule, nilisoma mbali na kitaa chetu kwahiyo kupata hata masela wa kunipa dili ilikuwa ngumu. Kuna siku nilikuwa sina hata shilingi 500 ya kwenda Banda umiza kuangalia mechi ya Manchester United dhidi ya...
Back
Top Bottom