nguo ya mtumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Maisha ni vile wewe umeamua kuishi. Ukisema kuanzia sasa sitavaa nguo ya mtumba mpaka kifo chako itakuwa hivyo

    Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana. Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa hiyari 2017. Ukijiapiza kuwa kuanzia leo sitatoa sadaka chini ya sh .elfu 10 ndio utaishi hivyo na...
  2. S

    Mume kutaka kuua mke kisa jeans ya mtumba ya elfu 3, kweli ndo tulipofikia?

    Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu. Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko kuigawa kwa wahitaji kwelii!? Halafu hizi tabia za wanaume kupiga wake zao wakikosea, nyie nani...
Back
Top Bottom