Viongozi wa Tanzania wana kalba ya kutamka maneno ya kuudhi na kutweza wananchi,
Huyo alietamka hivyo sijui alikua kalewa au kavimbiwa, yaani eti kiongozi unajisifu Kwa kuiba kura dunia ya leo?
Maana yake huyu mkimdai katiba mpya kamwe hawezi kuwapa ushirikiano na tafanya kila awezalo kuizui...
RAIS SAMIA, alikuja na falsafa ya 4Rs. Nape akampinga Rais kwa kauli isiyo ya wazi moja kwa moja. Lakini Nape ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, ambalo kazi yake ni kumsaidia Rais. Baada ya kauli yake ya hivi karibuni, haikuwa wazi kama Nape anamsaidia Rais kutekeleza 4Rs au anamsaidia Rais...
Nilianza kupata mashaka urafiki wa Nape na Kinana siku ya uchaguzi wa wa wabunge wa Afrika Mashariki kwenye bunge lililoisha, uchaguzi ule tuliufanyia Karimujee, Nape akiwa Mwenezi na Kinana akiwa Katibu Mkuu.
Katika Kura kulikuwa na mchuano mkubwa sana kwa upande wa Akina mama, chaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.