Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.
Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
Wakuu,
Nahitaji namba ya NIDA tu maana nimejiandikisha miezi miwili imepita sasa, naweza kuipata kupitia Online service baada ya kuingiza taarifa zangu?
Msaada tafadhali. NIDA Tanzania
Ama kweli kujaribu siyo kushindwa.
Jana ndugu zangu luku ilikata na kwa bahati pekee nikaamua nijaribu kuingiza namba zangu Nida na nilistaajabu umeme ukawaka!
Tusiogope kujaribu.
Jamani naombeni ushauli niache kufatilia namba yangu ya NIDA au nikaze moyo toka nimemaliza usajili mwaka 2018 mpaka leo namba yangu haijatoka, ivi shida huwa ni nini?
Habari za asubuhi Wanajamvi leo Nina jambo na mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa kuweka mkazo mkubwa kwenye mgawanyo wa majukumu kwamba kama una changamoto kuhusu kitambulisho cha taifa unatakiwa uende kwenye mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.