Huduma ya mabasi ya mwendokasi inazidi kuwa mbovu, wahudumu na madereva wananyanyasa sana abiria, tunacheleweshwa vituoni zaidi ya saa mbili na inakuwa kero tunachelewa makazini.
Serikali imeshindwa kabisa kusimamia huduma hii, heri iwape wawekezaji katika sekta ya usafiri wao watajua uchungu...
Wanafunzi wa shule za kutwa jijini Dar es salaam wanakumbana na changamoto kubwa sana ya usafiri, hii inapunguza morali ya watoto kupenda shule, pia ni moja ya sababu ya matokeo mabaya kitaaluma yanayochangiwa na kuchelewa vipindi, kuchoka sana na hivyo kupunguza umakini wakati wa vipindi na pia...
Joseph Zablon, Dar es Salaam,
Baadhi ya wakazi wa Jijini Dar es Salaam wamelalamikia bei ya Sh5,000 inayotozwa kununua kadi janja ya Mwendokasi, iliyozinduliwa jana na Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti mara baada ya...
Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za mwendokasi, ambapo sasa bila kadi hii huwezi kufanya safari kwenye usafiri wa mwendokasi. Hii imenifikirisha...
Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) Mhandisi Leonard Ngayungi amesema, kwa sasa kuna miradi mitatu ya BRT ambayo utekelezaji wake unaendelea huku ujenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili (BRT II) ukifikia asilimia 99 ambapo kwa sasa wako katika hatua ya mwisho ya...
Vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni, Gerezani, Ubungo, Morocco na Mbezi ni vyema vikapewa majina ya viongozi wakuu wa nchi ili kuenzi mchango wao wa kuweka miondombinu mizuri na usafiri mzuri unaovutia wa mwendokasi katika jiji la Dar es Salaam.
PIA SOMA
- Treni zote za SGR Kupewa...
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi...
Akizungumzia maboresho ya Huduma ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka “Mwendokasi”, Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, leo Julai 15, 2024, amesema kuna changamoto kubwa ya wizi katika huduma hiyo kutokana na malipo ya kutoa fedha taslim (cash).
Amesema “Ukiwa na opareta wengi wa kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.