muziki wa dansi

Muziki wa dansi (in Swahili: "dance music"), or simply dansi, is a Tanzanian music genre, derivative of Congolese soukous and Congolese rumba. It is sometimes called Swahili jazz because most dansi lyrics are in Swahili, and "jazz" is an umbrella term used in Central and Eastern Africa to refer to soukous, highlife, and other dance music and big band genres. Muziki wa dansi can also be referred to as Tanzanian rumba, as "african rumba" is another name for soukous.
Muziki wa dansi began in the 1930s in the Dar es Salaam area (where most dansi bands come from),and it is still popular in Tanzania, although new generations are more likely to listen to bongo flava or other forms of pop music. Notable dansi bands include DDC Mlimani Park, International Orchestra Safari Sound, Juwata Jazz, Maquis Original, Super Matimila, and Vijana Jazz.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Nini Kinamsibu au kimempata Mzee wetu wa Miziki ya Dansi King Kikii?

    Nilivyomuona mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni na nilivyoona alivyo sasa si tu nimesikitika bali nimechozika pia. Naomba Bendi zote za Dansi nchini Tanzania ziandae Tamasha kisha Kiingilio chote kikamsaidie Mzee wetu huyu. Nina uhakika hata baadhi yetu hapa wenye Mioyo myepesi mkipandishiwa...
  2. Kyambamasimbi

    Serikali ijenge Makumbusho ya Muziki wa Dansi iliyosheheni vifaa, picha za wasanii, wa Muziki wa Dansi. Itakuwa kama sehemu ya Utalii

    Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi. Na mtangazaji nguli Mwanaethnomusicologist wa TBC taifa Masoud Masoud awe mkurugenzi mkuu wa Makumbusho hiyo. Tutakuwa tumeitendea...
Back
Top Bottom