muwa

In Malaysian folklore, the Orang Mawas or Mawas (also known as the Orang Dalam) is an entity reported to inhabit the jungle of Johor in Malaysia. It is described as being about 10 ft (2.4–3 m) tall, bipedal and covered in black fur, and has been reported feeding on fish and raiding orchards. There have been many sightings of the creature, which the local Orang Asli people call hantu jarang gigi, which translates as 'Snaggle-toothed Ghost'. Recorded claims of Mawas sightings date back to 1871. Some speculate the creature may be a surviving Gigantopithecus (or at least a folk memory of the animal), while others dismiss the sightings as misidentified sun bears.The creature is similar to the Muwa, another hominid, this time found in the Philippines. In the jungle of southern Thailand, there are stories of hikers for many days, with monster hairs covering the body like a monkey or ape, but speaking like a human called "Butnak" (Thai: บุดนาก).
In Sumatra, mawas (sometimes maias) is common name for the orangutan.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nikweli yasemwayo kuwa wanaume wa Dar hawawezi kumenya muwa Otherwise watengenezewe juice?

    Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani. Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani. Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba kwenye lile shamba huwa kuna...
  2. machiaveli

    Muwa ni nini?

    Habari zenu wakuu? Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu! Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini? Asanteni
  3. GENTAMYCINE

    Mtangazaji wa EFM Twalib Muwa: Simba SC kuishinda Al Ahly labda ishinde Njaa tu

    1. Kama katumia miaka Sita (6) kuitafuta Degree yake (isiyoeleweka ) Open University of Tanzania (OUT) kutokana na uhaba wa Akili alionao Kichwani ataacha kuwa Mpuuzi hivi? 2. Kama kila Redio anayokuweko yeye kutwa ni Kugombana tu na watangazaji wenzake ataacha kuwa Mpuuzi hivi? 3. Kama kuwa...
  4. M

    Majizo na EFM Radio yako huu Utangazaji wa Kinafiki na Majungu wa Watangazaji Maulid Kitenge na Twalib Muwa utaiponza Radio yako

    Haiwezekani Watangazaji wako hawa Maulid Kitenge na Twalib Muwa ambao si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC kila wakiwa pamoja Hewani katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Kazi yao ni Kuisakama Simba SC, Kuinanga, Kuidhalilisha na Kuichokonoa ili mradi tu...
  5. T

    UONGOZI WA EFM: Huyu mtangazaji wenu mnazi wa Yanga, Twalib Omar aka Muwa, sio proffessional na anapiga kelele tu kuutetea Uyanga wake

    Amani iwe nanyi Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza kipindi chenu cha mchezo cha asubuhi, huyu mtangazaji wenu anashindwa kusimama katika professionalism ya...
  6. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Twalibu Muwa Kujitangaza 'On Air' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM. Inaruhusiwa kimaadili?

    Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili. Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
  8. Q

    Kilimo cha miwa Kilombero na rushwa ni jipu kwa wakulima

    Habari wapendwa kumekuwa na sintofahamu ya uvunaji miwa Kilombero, bila rushwa hutoi miwa yako na hii ni kutokana na uongozi kutokuwa na usimamizi wa kutosha hasa inapofika kipindi cha uvunaji na nimegundua wanafanya hivyo makusudi ili kuweka mianya ya rushwa kwa wakulima. Mfano kama viongozi...
  9. SankaraBoukaka

    Kuna mahala popote hapa Tanzania panapolimwa Sugar Beets?

    Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
Back
Top Bottom