Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani
Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya mashambulizi na wazayuni wananukuliwa kusikia mishindo mikubwa ya mabomu
Israel panawaka kama bandari ya...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro limedhibiti moto mkubwa uliozuka katika mtaa wa Ngoto Manispaa ya Morogoro na kuteketeza vibanda zaidi ya 10 vya wafanyabiashara wa samani za ndani na baadhi ya nyumba zilizopo jirani na eneo hilo.
Moto huo ulizuka majira ya saa mbili usiku Machi 21...
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Carlos Vela amepoteza nyumba yake ya kifahari ya Malibu katika eneo la Moto wa maangamizi wa Los Angeles
Angalau miundo 5,000 imeharibiwa katika kile kinachotarajiwa kuwa moto wa maangamizi makubwa zaidi katika historia ya Marekani
Ben Affleck, Paris Hilton na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.