Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro
Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.
Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa.
Katika...
WIZARA YA UTAMADUNI NA UTALII: NIMEANDIKA MAKALA NZURI YA MOROGORO, NIMEPIGIWA SIMU NA MAKAMPUNI TISA YA UTALII MKOANI ARUSHA, WAKIULIZA NAMNA YA KUFIKA MLIMA ULUGURU NA KUPATA HISTORIA YA MOROGORO.
Leo 19:45hrs 13/02/2021
Historia ni somo pana sana kama yalivyo masomo mengine, lakini wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.