Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili.
Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo huwafikisha CCM kutimiza mahitaji yao ya kutwaa ushindi bila ya kupigiwa kura?
CCM imevigeuza vyombo huru...