wadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye...
Mapenzi Yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuangalia kwa jicho Pana na akili pembuzi kabla ya kuingia,
Namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina Cha maji kabla ya kuzama, Sasa basi, zifuatazo ni FAIDA Tano (5) utakazo zipata ukiwa umenuniana na mpenzi WAKO.....twende kazi!!!
1. HUSAIDIA...
Habari wakuu,
Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto.
Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba
Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.