Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika!
Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa:
✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma)
✅ Parachichi
✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza
✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
Kwa nini ni muhimu kupogolea miti ya matunda:
1. Kuboresha ukuaji na uzalishaji:
Kupogolea huwezesha mti kuelekeza nishati yake kwenye sehemu zenye afya na kuimarisha ukuaji wa matawi na matunda bora zaidi.
Husaidia mti kuzalisha matunda mengi na yenye ubora kwa kuruhusu mwanga na hewa kupenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.