mgawanyo wa rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipande cha keki ya taifa kinakufikia au wote tuvizie fomu?

    Tunaimbiwa wimbo wa nchi yetu kuwa na maendeleo ya kila uchwao huku tukisikia taarifa kuwa uchumi unapanda, wengine tukisikia tunajua huenda keki ya Taifa itafika na kwetu angalau tuache kupiga miayo tukiiwaza siku itaishaje baada ya asubuhi na mchana kupita pakavu yaani bila bila. Cha ajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…