Hiii michango ya akina Maria Sarungi na Amos ni Siasa za kutwezana tu
Kama ni michango ya CCM kwa Tundu Lisu basi ilishatolewa na yule Mbunge wa CCM Zanzibar aliyemkodia Chopa kadhalika Rais Samia na Hayati Mzee Mwinyi walipokwenda hospital Nairobi Kenya kumjulia hali
Hawa akina Maria Sarungi...
CCM wana roho njema sana, sasa wamechukua jukumu la kuhakikisha Tundu Lissu anapata gari. Chadema wameshindwa kumpa gari kiongozi wao mkuu.
Nashauri kila mkutano wa CCM wamchangie Lissu, na pia Mama Samia ampe surprise ya mchango katika moja ya mikutano ya hadhara.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.