mazda

The Mazda Motor Corporation (Japanese: マツダ株式会社, Hepburn: Matsuda Kabushiki-gaisha) (commonly referred to as simply Mazda) is a Japanese multinational automaker based in Fuchū, Aki District, Hiroshima Prefecture, Japan.In 2015, Mazda produced 1.5 million vehicles for global sales, the majority of which (nearly 1 million) were produced in the company's Japanese plants, with the remainder coming from a variety of other plants worldwide. In 2015, Mazda was the fifteenth largest automaker by production worldwide.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Kutoka Mazda Atenza to Honda Fit Hybrid: Nini unapoteza na nini unagain?

    Wakuu. Baada ya kukaa na Mazda Atenza kwa karibia 2 years, nikaona nibadirishe niende EV ndoto ikiwa Nissan Leaf ila ushuru ukanikata maini nikasema sio mbaya nikienda Hybrid, moja kwa moja nikaangukia Honda Fit Hybrid. Ni gari ndogo, isio na mambo mengi kwa mtu ambae ana misele mingi ya...
  2. BATULUNGE

    Mazda bongo inauzwa

    Gari bado nzima Sana ipo dsm Goba Ina engine f8 Cc 2790 Bei ni Mil 12 maongezi yapo 0656077998
  3. FAJES

    Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

    Wazee, Ushauri unahitajika. Karibuni. Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
  4. Brown B

    Car4Sale MAZDA CX 5 -2015

    MAZDA CX5 Mwaka 2015 Engine 2180cc-Diesel Rangi Maroon Mileage 67,000km Bei 40m 📌Electric Leather Seats 📌Winker Mirrors ☎+255626682228
  5. Jerry magere

    Car4Sale 2014 MAZDA CX-5 Model - XD L PACKAGE inauzwa

    Ishafanyiwa Service Mileage: 57,247km Engine Size: 2,180cc Ext. Color: Black Fuel: Diesel Price: 32,500,000 + Registration.
  6. Jerry magere

    Car4Sale 2014 MAZDA CX-5 ( Model - XD L PACKAGE) inauzwa

    Mileage: 62,163 Engine Size: 2,180cc Ext. Color: Pearl White Fuel: Diesel Price: 32,500,000 + Registration.
  7. Mad Max

    Battle la Compact SUV: Mazda CX-3 vs Honda Vezel. CIF karibia zipo sawa, ila Ushuru wa TRA mmoja amedabo!

    Kwa wapenzi wa compact SUV kuna haya magari mawili, Mazda CX-3 na Honda Vezel. Ingawa ni taste mbili tofauti, lakini yanaweza kufananishwa ata kwa udogo. Mazda CX-3 yeye ana sifa zifuatazo: Engine: 1.5L SkyActiv-D diesel engine, inatoa power ya 105 hp Transmission: 6-speed manual au...
  8. G

    Jf Magari Mazda CX-5

    Tafadhali wajavi wa mambo mwaka huu inshalaah na ndoto za kudunduliza nipate angalau usafiri vipi gharama za MAZDA CX-5 na au Kluger Thanks in advance.
  9. Saad30

    Car4Sale Mazda Atenza inauzwa

    Mazda Atenza Turbo Year 2013 Fuel Diesel ⛽ CC 2200 Price milion 25 plus registeration. Call 0754693556
  10. M

    Mbadala wa Mazda CX-5 na Subaru Forester

    Mazda CX-5 zinaelekea kuwa nyingi kama harrier na pia forster nayo the same . Lakini Mazda CX-5 ina masharti kama mganga sijui utoe dpf mara uendeshe km kazaa kutoa huo Moshi .nk Kwangu Mimi hizi ni gari mbadala ambazo zinafanana bei na matunzo ya Mazda na forester 1. AUDI Q5 2.Volkswagen...
  11. 101 East

    Hii ndio expereince yangu kwa mwaka mmoja na Mazda CX-5

    Habari wakuu, Mwishoni mwaka Jana niliagiza Mazda cx-5 2.2cc diesel ya mwaka 2015 maneno yalikuwa mengi sana before sijanunua hii gari,lakini Kwa kuwa professional yangu ni engeering nikasema wacha nicheck na watu wa ulaya nipate maelezo ya kina kuhusu hii gari na wenzetu Kenya hapo maana wao...
  12. Multi-skilled

    SUBARU FORESTER 2014 vs MAZDA CX 5 2014 niende na ipi?

    Nataka kupiga chini Toyota naomba ushauri kati ya vyuma viwili hapo juu kwa vigezo vya Reliability performance Handling Longetivity Thanks
  13. M

    Natafuta seal ya Mazda CX 7 inayokaa kwenye Intercooler

    Hi guys, natafuta hii seal ya Mazda CX-7 inakaa kwenye oil cooler naomba kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana anielekeze tafadhari gari yangu inavuja oil sana. Asanteni.
  14. M

    Mazda Tribute

    Mwenye uzoefu na hii gari kuna jamaangu anataka achukue kuna website ameikuta moja kilakitu inakuja mil 16. Naomba uzoefu niwasilishe
  15. 0

    Natafuta Mazda Biantr

    Habari wakaka na wadada Natafuta gari aina ya Mazda Biante ya mwaka 2008 au hata zaidi. Anayeuza ani PM
  16. Mad Max

    Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  17. Mad Max

    Hatimaye Mazda wazindua EZ-6 Electric sedan!

    Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mazda wameamua kuzindua officially Mazda EZ-6 ambayo ni EV version ya Mazda 6/Atenza. Kuonesha ubabe wake kwenye EV, Mazda aliamua kushirikiana na kampuni la Kichina la Changan katika kutengeneza hii chuma. Itakuja na flavor mbili, either full...
  18. Mad Max

    Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

    Nilikua na safari ya Dar hadi Moro town kisha Ifakara na kurudi Dar, kwa kutumia Atenza. Mafuta (Diesel Tsh 80k) niliweka Puma ya Survey (jirani na Mlimani City) na kuanza safari pale kuelekea Morogoro. Njiani sikua na vituo zaidi ya kusimama JKT Mlandizi na Cate Hotel Morogoro. Barabara ya...
  19. bending moment

    Nataka kuchukua mazda cx 5 2015

    Wakuu habari ya jumapili,nataka kuchukua hiyo chuma kutokana na muonekano wake comfortability, pia fuel consumption ipo vzuri. Ushauri: nmekuta malalamiko sehemu baadhi ya hzo gari mara dpf, pipe but wanadai 2015,2016 haina hzo shida Wajuzi wa mambo msaada wenu je ni kweli hzi sio sumbufu kama...
  20. Saad30

    Car4Sale Nauza Mazda Cx-3

    Hii inaitwa panda kwenye gari na sio ingia kwenye gari. Mazda CX-5 Year 2013 Fuel Diesel CC 2180 Km 80k Price milion 27.5
Back
Top Bottom