mavazi ya heshima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Septemba 1973 yalifanyika maandamano makubwa kupinga mavazi yasiyo na heshima! CCM walianza zamani kupoteza muda kwenye mambo ya ajabu

    Wakuu, Yaani kutoka TANU mpaka kufikia CCM bado wameendeleza kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana na kuacha vitu ambayo vinadidimiza taifa kwenye maendeleo ya sekta mbalimbali. Yaani watu na akili zao walitoka barabarani kupinga vimini, wavaa vikaushi sijui na zile suruali skini za...
  2. M

    Nandy haiba yako inaendana vema na mavazi ya heshima. Usivae nusu uchi

    Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa. Ila kwa sasa naona Nandy naye anavaa vinguo kuonyesha tumbo, mapaja na matiti. Ukiangalia sura ya Nandy haijakaa KIMCHARUKO...
  3. U

    Mteja tusiyemfahamu kasahau chaji yake ya gharama sana hapa kijiweni. Bado tunamtafakari

    Wadau hamjamboni nyote? Tuko Kijiweni muda huu hapa maskani Kuna chaji ya simu ipo hapa mezani Ina rangi nyeupe tena ya gharama kubwa imeachwa na mteja mmoja aliyekuja mapema leo asubuhi Hatujui kaisahau kwa bahati mbaya au la na pia hakuna amjuaye mtu huyu anatokea wapi Waliomuona asubuhi...
  4. Bob Manson

    Afadhali niendelee kuitwa Mzee kuliko kuvaa nguo zisizo na staha

    Habarini waungwana Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani. Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani, wanadhani nina umri mkubwa kumbe bado sijafika huko. Nilipata maoni na wengi walinishauri nibadili style...
  5. P

    Wanawake vaeni mavazi ya heshima kwenye nyumba za ibada

    Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani. Kuna wanawake bila nguo mpya anaona ibada kwake haina maana(mashindano ya mavazi). Kuna wanake bila wigi jipya anaona ibada haina maana...
Back
Top Bottom