Kwanini taifa halijifunzi tu kwa kila maandiko na ushauri tunaoutoa wadau? Miaka 7 nyuma niliandika kisa muhimu kutoka Buenos Aires nchini Argentina, Niliandika nikionya serikali ya Hayati Magufuli kufuatia jaribio la Mauaji ya Mh Tundu Lissu ambalo hadi leo hakuna uchunguzi wa aina yoyote...