Ukichunguza matokeo ya wanafunzi wa form six 1960-2014 walikua ni miamba kweli kweli, yaani mtu anatambulika karibu kijiji kizima kwamba kijana wa flani kafaulu, mimi binafsi nilikua nikikutana na mtu ameenda form five nilikua namuona watofauti saana, heshima nyingi mtaani, na matokeo yao miaka...
Hawa vijana wanaomaliza shule siku hizi wanatufanyia sisi tuonekane hatukuwa serious wakati tunasoma
Vijana wanafaulu hadi tunajiona sisi tulihurumiwa kupata vyuo 😂😂
Haya matokeo ya kidato cha sita yamenifanya nijiskie nilifeli
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana.
Akitangaza matokeo hayo leo Julai 12, 2023 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said...
Watahiniwa 93,136 (98.97%) wamefaulu Mitihani yao, ikielezwa Wasichana ni 40,907 na Wavulana ni 52,229. Aidha, Baraza la Mitihani (NECTA) limesema jumla ya Watahiniwa 83,877 (99.24%) wamefaulu katika Daraja 1 hadi 3
Ufaulu katika Masomo ya Historia, Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Physics...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu iliyofanyika Mei 2021.
Ameeleza kuwa ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 0.11 ikilinganishwa na mwaka 2020.
Dkt Msonde amesema hayo leo visiwani Zanzibar na...
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta mjini Unguja Zanzibar, Dk Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka...
Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa katika orodha ya shule 10 za mwisho.
Jingine katika matokeo hayo ni Shule ya Sekondari Kibaha kupanda...
Link hi hapa
http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1070-20170715-Matokeo-ya-Kumaliza-Kidato-cha-Sita-na-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_a.htm
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016
Matokeo Kidato cha Sita 2009
Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,
Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na...
Matokeo ya Kidato cha Sita yametangazwa mtandaoni rasmi na Baraza la Mitihani nchini almaarufu kama NECTA. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:NECTA | View News
http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014
Matokeo...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Sita yaliyofanyika Mei, 2014 mwaka huu, ambapo limesema ufaulu umeongezeka kwa jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 ambao wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumatano Julai...
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
Soma Pia matokeo mengine kuanzia 2009
Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2011 yametoka
Matokeo Kidato cha Sita 2009
HAYA HAPA:
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm
au...
Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA iliyopo hapa chini.
www.necta.go.tz
Soma Pia: Matokeo Kidato cha Sita 2009
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.