Habari zenu Wanajamvi.
Nimefuatilia sakata la dada JM kufanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa kwa kundi na vijana watano wanaosemekana wamepewa order na Afande.
Kinachonitia mashaka kuhoji tume ya haki jinai Tanzania ni ukimya wao juu ya suala hili je ni ipi legitimacy ya kuwepo kwa tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.