Najalibu kujiuliza nguvu ipi wanaipata mashabiki ambao timu yao imefungwa mala nne mfululizo na mechi ya tano wameingia mitini kwa kuogopa kipigo lakini bado wanajipa moyo kujifanya wanatamba, wamezidiwa kwa makombe lakini bado wanatamba, ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na mechi nyingi...
Kwakweli hii mechi Mimi nikiwa kama mshabiki wa Yanga na Al masry pamoja na wenzangu wengi, tunaisuburi mechi yetu ya pili ya kufuzu dhidi ya makolo aka Simba ambayo itachezwa Kwa Mkapa. Tuna uhakika mkubwa tutapita,
Sasa naomba wauzaji wa jezi hasa wa dar es salaam watuletee haraka sana jezi...
Mimi ni mpenzi wa mpira wa ushindani. Sipendi timu ninayoshabikia ishindeshinde kwa kubebwa au kwa njia za mkato. Ushindi mtamu ni ule wa kutolea jasho.
Ningependa sana ligi kuu ya Tanzania iwe na timu imara za mikoani zinazotoa ushindani wa kweli kwa timu kubwa. Huwa sipendi ninapoangalia...
Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu kupigwa
Timu ya Arsenal ambayo bado inapambania ubingwa ipo nyumbani ikiikaribisha Fulham, Wolves nayo...
Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.
Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma...
Police use teargas to disperse fans who were trying to force their way into Nyayo stadium for the #MashemejiDerby between Gor Mahia and AFC Leopards.
=================
Leopards, Gor fire blanks in season's first Mashemeji Derby
AFC Leopards and Gor Mahia played out a 0-0 draw in a Kenyan...
Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8.
Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
Hapo vip!
Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele.
Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 na ulipaswa kukamilika Julai 2024.
Hayo yalisemwa Dar es...
Hawa watu wametengeneza mgogoro na wanajua njia ya kuhusuluhisha maofsini.
Nimeamini Simba na Yanga zinatumika kisiasa, na Toka Leo sitajisumbua na hizi timu
Wakiona derby isiharibu shughuli ya wanawake duniani, macho na masikio yawe Arusha badala ya Chang'ombe uwanja wa Taifa, maana...
Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo.
Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
Wakuu
Ubaya Ubwela umewageukia!
Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Tazama video hii ya tukio husika
Mwendelezo:
Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka.
Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku
Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine
Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza
Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa.
Wanavalia jezi, wanajichora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.