Wakuu,
Yamenitokea, sina furaha kabisa😭😭mtaani kwetu Kuna mdada mzuri kapanga anafanya kazi ktk ofsi fulani.
Siku ya kwanza tu kuingia ktk chumba nikachangamkia fursa, nikaenda kupika nae gheto, tukapika tukala na nikafosi tuzagamuane,
Bwana ee nikafanya purukushani zote za kumuandaa, nyonya...
Utafiti umeonyesha kwamba wanandoa wanaolala uchi pamoja mara nyingi wanaripoti viwango vya juu vya kuridhika katika mahusiano yao ikilinganishwa na wale wanaolala wakiwa wamevaa mavazi.
Katika utafiti uliofanywa kwa Wabritani 1,004, iligundulika kwamba asilimia 57 ya wale wanaolala uchi...
Kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile yani sina mchongo wowote ule, nilisoma mbali na kitaa chetu kwahiyo kupata hata masela wa kunipa dili ilikuwa ngumu.
Kuna siku nilikuwa sina hata shilingi 500 ya kwenda Banda umiza kuangalia mechi ya Manchester United dhidi ya...
Imetokea jana.
Dada ananiambia kuna hutuma dhidi yetu hapa mtaani. Anasema ameshutumiwa muda mrefu sana lakini aliamua kupotezea tu ila alipanga kuna siku atapata sababu ya kusema na siku yenyewe aliyoipata ni hiyo jana. Najibu nini' kwenye jambo kama hili?
Msaada tafadhali.
Ma-Single Mother/Single Father
Duniani kuna watu wanaokadiriwa bilion 8+
Kwa idadi hiyo ni serious umeshindwa kumshawishi mmoja tu akupende?
Aaaaaah alooo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.