Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu.
Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
Jamii Ina stress kubwa za kiuchumi, kimalezi, kimahusiano na za hisia za kurogwa.
Wafanyamazingaombwe, waganga na matapeli jasiri wameiona hii fursa na kujitengenezea vilinge vya kujitajirisha kupita watu waliopoteza matumaini.
Hivi ni vitu vichache vya kuzingatia kabla hujaamua kuwa mteja wa...
Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaojiita manabii likiongezeka kila kukicha na manabii wote hao wameanzisha makanisa yao.
Manabii hawa wamekua ni wengi kuliko hata wale ambao wametajwa kwenye biblia takatifu.
Kwa ulewa wangu mdogo ni kwamba wale manabii wa kale ambao walitajwa kwenye biblia...
1. Wanajali zana pesa kuliko kumtumikia Mungu.
2. Wanaamini Yesu sio Mungu.
3. WANA MADHABAHU ZAO, hata maombi wanaomba kwa madhabahu ya mtumishi huo, sio kwa Jina la Yesu, wanaamini madhabahu yao ina nguvu, kumbe Nguvu zetu zinapaswa zitokane na Roho.
4. Injili zao muda mwingi ni za miujiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.