malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Faida Ya Mmea Wa Msegesege Kumtibu Mtu Aliyerogwa Uchawi Usioweza Kutibika Kabisa

    FAIDA ZA MMEA WA MSEGESEGE KUMTIBU MTU ALIYEROGWA UCHAWI USIOTIBIKA KIRAHISI 1. Kama unahitaji kumtibia mtu aliyerogwa uchawi usiotibika kirahisi au amezunguka sana kutafuta matibabu mbalimbali basi utakwenda katika mti huu kwa kufuata adabu za kuchukua mti kitiba kisha utachukua majani yake...
  2. Rostam: Hakuna nchi duniani inajenga Uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji wa nje, ataka wazawa wapewe kipaombele

    Nakubalina na Rostam Aziz, Wawekezaji wa Nje waje ku compliment pale ambapo Wawekezaji wa Ndani wamekwama tena Kwa Ubia. Sasa taasisi zetu zikisia uwekezaji wao wanaweza Wazungu na hata Sasa wako busy kutafuna posho Kwa visingizio vya kuandaa majukwaa ya uwekezaji na mataifa ya Nje...
  3. Huu mmea ni dawa nzuri ya vidonda mwilini

    Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda Wengi mna sikia hadithi tu Kua kuna mti.huo wa nyoka Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia Huenda kwenye mti flani uchuma jani na kumtemea mwenzake na kuamka Basi dawa hii NI nzuri kwa mwenye vidonda vyovyote vile ambavyo vya ndani na...
  4. Faida ya Tunda la Fenesi kwa Afya ya Mwili wako pamoja na ngozi yako

    FAIDA YA TUNDA LA FENESI KWA AFYA YA MWILI WAKO NA NGOZI. Najua unalijua fenesi, pengine unakula bila kujua faida zake au hujawahi kula kabisa. Fenesi linaweza kuwa tunda ambalo halina washabiki wengi, lakini ukisoma hapa na kujua faida zake mwilini. Mwenyewe utaanza kulipenda tu. Maana fenesi...
  5. Faida za Kiafya zipatikanazo Kwa Kunywa juisi ya Rosela/Hibiscus/Karkade

    Rosela ni ni maua yanayo julikana kabisa pia huoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu. Zifuatazo ni faida za kutumia Rozela. Maua ya...
  6. Nitajie wasanii hawa wa tasnia ya filamu wamecheza filamu gani?

    Rip Bruce Lee, Bolo Yeung, Jimmy Kelly, Angela Mao,robert Wall Kien Shih, John Saxon, Ahna Gapri, Sammon Kam-Bo Hung, Geoffrey Weeks.
  7. Msaada wa kumtambua huyu ndugu pichani

    Anaitwa NASSORO IDDY IGALAWA ni dereva amepatwa na umauti leo maeneo ya mbangamawe alikuwa na gari NOAH amby bado haijasajiliwa lakini documents zinaonyesha alikuwa anapeleka gari msumbiji. Mwili upo hospital ya mkoa ruvuma (HOMSO) mpaka sasa hivi hatujapata mawasiliano ya ndugu kwasababu...
  8. Ufuta Unavyotibu Kisukari, Saratani!

    UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru. Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya nchi, zinaonesha kuwa ulaji wake ni kinga na tiba ya magonjwa katika mwili wa binadamu Baadhi ya...
  9. Je, Iran ilitengeneza vipi kombora la hypersonic ambalo linaweza kufika Israel kwa 'sekunde 400' licha ya vikwazo?

    Je, Iran ilitengeneza vipi kombora la hypersonic ambalo linaweza kufika Israel kwa 'sekunde 400' licha ya vikwazo? Maelezo ya picha,Teknolojia ya kombora la Balistiki ilitengenezwa wakati wa Vita vya Pili vya Dunia lakini ni nchi chache ulimwenguni ambazo zina uwezo kama huo.10 Oktoba 2024 Na...
  10. Nilichokiona kwenye kisiwa cha siri ambacho hawataki ukione

    Diego Garcia, kisiwa kilicho mbali katika Bahari ya Hindi, ni peponi kwa mimea na fukwe zenye mchanga mweupe, kwenye maji ya buluu. Lakini kisiwa hiki sio kivutio cha watalii. Ni kituo cha kambi ya siri ya kijeshi ya Uingereza na Marekani - kisiwa kilichogubikwa na uvumi na siri kwa miongo...
  11. Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
  12. Wimbi la pili la milipuko ya vifaa vya mawasiliano Lebanon laua 20 na kujeruhi 450

    Chanzo cha picha,AFP 19 Septemba 2024 Takribani watu 20 wameuawa na zaidi ya 450 kujeruhiwa na wimbi la pili la milipuko kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano visivyo na waya nchini Lebanon, wizara ya afya ya nchi hiyo inasema. Simu za upepo zinazotumiwa kwa mawasiliano na kundi lenye silaha la...
  13. Hezbollah 'yasukumwa ukutani' baada ya mashambulizi ya vifaa vya mawasiliano

    Play video, "Watch: Small explosion in Lebanon supermarket", Muda 0,22 00:22 Maelezo ya video,Tazama: Mlipuko mdogo katika duka la jumla la Lebanon 20 Septemba 2024 Wakati umati wa watu ulipokuwa umekusanyika kuomboleza baadhi ya waliouawa katika wimbi la mashambulizi ya bomu Jumanne, mlipuko...
  14. Mashambulizi ya Israel Lebanon: Maafisa wa Israel wafichua siri za sifa ya kutisha ya Mossad - Telegraph

    Chanzo cha picha, Getty Images Magazeti ya Uingereza na Kiarabu bado yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na taarifa za milipuko ya vifaa vya mawasiliano vya 'pager' nchini Lebanon, huku yakijadili athari za mashambulizi haya kwa sura na sifa ya Hezbollah, na uwezo wa shirika la ujasusi la kigeni la...
  15. Tanzania: Tathmini ya hotuba ya Rais Samia: “Kwenye msiba, huwezi kumpangia mtu alieje”

    Chanzo cha picha, Ikulu ya Tanzania Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu HassanMaelezo kuhusu taarifa Wachambuzi wa siasa wameonesha kushangazwa kwa kiasi fulani na ukosoaji wa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hisia za umma kuhusiana na tukio la kutekwa na kisha kuuawa kwa kiongozi mwandamizi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…