Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
Pia soma:
~ Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa
~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi
~ Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu...
Jopo la Mawakili wanaomwakilisha Dkt.Wilbrod Slaa kwenye Kesi ya Jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 wamewasilisha maombi mawili kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo ombi la kwanza ambalo limesikilizwa leo Januari 23, 2025 walikuwa wanapinga kunyimwa dhamana kwa mteja wao.
Katika ombi...
Dkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo.
Soma, Pia:
Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za...
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za...
Kesi ya Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76), imepigwa Kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025 baada ya kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Januari 10, 2025 kujibu shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani twitter).
================
Wakili Peter Madeleka...
Wakuu
Kama muonavyo picha
Mwanasiasa mkongwe, Wilbroad Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani twitter).
Dk Slaa amefikishwa mahakamani hapo leo Januari 10, 2025 na kusomewa kesi ya jinai namba...
Habari!
Sijui sheria zetu zimekaaje ila naomba niseme hili.
Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini kumeibuka wimbi kubwa la video zenye maudhui yasiyofaa zikisambaa mitandaoni huku vijana wa hovyo wakifurahia pindi waonapo video hizo ambazo wao huziita 'Connection', bullshit!
Kimsingi video...
SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO IMEPUNGUZA UHALIFU WA MTANDAO- ACP MWANGASA
ACP Joshua Mwangasa, Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya Mtandao kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania amesema kuwa kabla ya kutungwa kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kesi nyingi zilizokuwa zikiripotiwa...
Mwanahabari mmoja wa Italia aitwaye Giulia Cortese ameagizwa kumlipa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Giorgia Meloni fidia ya €5,000 (£4,210) kutokana na machapisho ya mitandao ya kijamii yanayodhihaki urefu wake
Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa shirika la habari la kimataifa la Uingereza (BBC)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.