Rais Joe Biden ametoa msamaha " kwa mtoto wake Hunter Biden, dhidi ya mashitaka yanayomkabili katika taarifa iliyotolewa na Ikulu Desemba 1, 2024.
Hunter Biden alikua akisubiri kusomewa hukumu ya mashitaka yake Desemba, 2024
Septemba 2024 mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden (54)...
Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Polisi wametumia dakika takribani 180 kufanya upekuzi nyumbani kwa Boniface maeneo ya Mbezi Msakuzi Jijini Dar es salaam.
Wakili Mwasipu akiwa nje ya...
Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi...
Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa.
Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma:
1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
Katika miezi ya hivi karibuni kumekuwepo na hali ya sintofahamu pale ambapo watu wapotea tu mitaani na vitongojini na baadae kuja kupatikana wakiwa hoi na taabani.
Wananchi hawa hukutwa maeneo hatarishi kama misituni na pembezoni mwa barabara huku wakiwa na majeraha makubwa kwenye miili yao na...
Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo.
Hiyo inamfanya Donald Trump, kuwa Rais wa kwanza mstaafu wa America, kukutwa na hatia, Kwa makosa ya jinai tokea Taifa Hilo...
Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya.
Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika...
Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto.
Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika uchunguzi wa makosa ya jinai na aliibuka kinara bora zaidi katika mahojiano ili kuteuliwa...
Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani zimeondolewa, huku kesi zingine 2,117 zikifanyiwa mabadiliko.
IGP Wambura alikuwa akizungumza jana...
UTETEZI WA KIJINAI
DEFENSES IN CRIMINAL CASES.
Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii.
Imeadaliwa na
Mr. George Francis.
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
Zifuatazo ni baadhi ya aina za utetezi wa makosa ya...
MAKOSA YA JINAI CHINI YA SHERIA YA TAKWIMU.
Mr. George Francis.
0713736006
mr.georgefrancis21@gmail.com
Habari ndugu mtanzania,
Karibu tuwe pamoja katika kusoma na kufahamu makosa ya jinai chini ya Sheria ya Takwimu ili usije ukaingia hatiani na kukumbana na adhabu kali katika zoezi la...
Taifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni.
Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi wake wasikamatwe kwa kupakia samaki waliovuliwa kinyume na sheria?
Askari gani ambae hana weledi...
Profesa Jonathan Moyo wa Zimbabwe kamlaumu rais wa Ukraine, Comedian Zelensky, kufanya makosa ya jinai dhidi ya binadamu kwa kuwaingiza raia kupambana na russia, super power, na kuwatumia raia hao kama ngao vitani.
Profesa Jonathan anasema nchi ya Ukraine ilijificha kwenye kivuli cha 'raia...
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani
Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
06 September 2021
Morogoro, Tanzania
LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA
WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
Kikosi kazi cha mashirika mengi kimeamuru ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kitaanzisha uchunguzi kuhusu tukio la walimu wawili wakuu katika Shule ya Msingi ya Thiru huko Laikipia Magharibi nchini Kenya wanaodaiwa kuwafunga wanafunzi watatu kwenye mti kama adhabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.