Wasalaam waungwana,
Naomba niwajuze kama ulikua hujui, zifatazo ni nchi zilizobadili majina.
1. Burma kuwa Myanmar
Nchi ilibadilisha rasmi jina lake kutoka Burma hadi Myanmar mwaka 1989.
2. Czechoslovakia kuwa Jamhuri ya Czech na Slovakia
Czechoslovakia iliigawa na kuwa nchi mbili tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.