Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop.
Je wewe unakunywa maji gani?
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije?
Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi.
PLease...
Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi.
Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba.
Yani nakunywa maji yao si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.