Kwema Wakuu!
Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka ya hivi karibuni yàani miaka kumi hii patterns hizo zinafanana kwa kiasi fulani.
Ukiangalia miaka...
Nimeona na vijana wa Uganda wametaka kuwaiga wenzao wa Kenya, kwa video kadhaa nilizoziona zinaonesha wazi vijana bado wana uoga sana, kitendo cha kuwaona tu polisi ni nduki !! wachache sana wana ujasiri.
Kwa Tanzania suala la mandamano halina kipaumbele kabisa, Vijana bado ni waoga, wengi...
Mpo salama bila shaka.
Inapotokea migomo ya nyakati hizi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ni muhimu kuiendea kwa umakini.
Wanasiasa wanaelewa nazungumzia nini.
Watatuzi wa migomo lazima wawe na ujuzi, uwezo na hekima za kuongea mbele za Watu.
Sio unachagua mtu asiye na...
Kila mtu anajifanya kulalamika ooh watanzania waoga.
Ooh watanzania hawajielewi.
Ooh watanzania hawajui haki zao.
Sababu tumeona Kenya vijana wanaandamana.
Lakini hapa Tanzania Rais ameruhusu watu kuandamana, nyinyi mnaolalamika kuhusu watanzania nini kinawazuia kuanzisha hayo maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.